Papa Callixtus III

Papa kutoka 1455 hadi 1458 kutoka kwa familia ya Borgia

Papa Callixtus III (31 Desemba 13786 Agosti 1458) alikuwa Papa kuanzia tarehe 8/20 Aprili 1455 hadi kifo chake[1]. Alitokea Jativa, Hispania[2].

Papa Kalisti III.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Alonso Borja.

Alimfuata Papa Nikolasi V akafuatwa na Papa Pius II.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Callixtus III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.