Papa Celestino II (alifariki 8 Machi 1144) alikuwa Papa kuanzia tarehe 26 Septemba/3 Oktoba 1143 hadi kifo chake[1]. Alitokea Città di Castello, Italia[2].

Papa Selestini II.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Guido.

Alimfuata Papa Inosenti II akafuatwa na Papa Lucius II.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Celestino II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.