Papa Leo XI (2 Juni 153527 Aprili 1605) alikuwa Papa kuanzia tarehe 1/10 Aprili 1605 hadi kifo chake[1]. Alitokea Firenze, Italia[2].

Papa Leo XI.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Alessandro de' Medici.

Alimfuata Papa Klementi VIII akafuatwa na Papa Paulo V.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo XI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.