Papa Paulo II (23 Februari 141726 Julai 1471) alikuwa Papa kuanzia tarehe 30 Agosti/16 Septemba 1464 hadi kifo chake[1]. Alitokea Venezia, Italia[2].

Papa Paulo II.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pietro Barbo.

Alimfuata Papa Pius II akafuatwa na Papa Sixtus IV.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Paulo II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.