Papa Pius XII (2 Machi 18769 Oktoba 1958) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2 Machi/12 Machi 1939 hadi kifo chake. Alitokea nchi ya Italia[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Papa Pius XII (1958)

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Eugenio Maria Guiseppe Giovanni Pacelli.

Alimfuata Papa Pius XI na kuvishwa taji la Kipapa tarehe 12 Machi 1939. Akafuatwa na Papa Yohane XXIII.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius XII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.