Papa Stefano II alikuwa Papa kuanzia tarehe 26 Machi 752 hadi kifo chake tarehe 26 Aprili 757[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2] katika familia Orsini[3][4].

Papa Stefano II akipokea zawadi ya Pipino Mfupi.

Alimfuata Papa Zakaria akafuatwa na Papa Paulo I.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  3. Norwich, J. J. "The Popes: A History", p. 756. 2011
  4. George L. Williams, Papal Genealogy, (McFarland & Company, 2004), 215.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Stefano II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.