Papa Stefano IV alikuwa Papa kuanzia tarehe 22 Juni 816 hadi kifo chake tarehe 24 Januari 817[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Papa Stefano IV.

Jina la baba yake lilikuwa Marinus (ambaye asichanganywe na Papa Marinus I aliyetawala 882-884).

Stefano IV alimfuata Papa Leo III akafuatwa na Papa Paskali I.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Stefano IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.