Papa Stefano V alikuwa Papa kuanzia Septemba 885 hadi kifo chake tarehe 14 Septemba 891[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Papa Stefano V.

Alimfuata Papa Adriano III akafuatwa na Papa Formosus.

Tazama pia hariri

Maandishi yake hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Stefano V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.