Papa Stefano VIII alikuwa Papa kuanzia tarehe 14 Julai 939 hadi kifo chake mwisho wa Oktoba 942[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Papa Stefano VIII.

Jina lake la kuzaliwa halijulikani.

Alimfuata Papa Leo VII akafuatwa na Papa Marinus II.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Stefano VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.