Papa Yohane VII alikuwa Papa kuanzia tarehe 1 Machi 705 hadi kifo chake tarehe 18 Oktoba 707[1]. Alitokea nchi ya Ugiriki[2].

Mozaiki ya Papa Yohane VII.

Alimfuata Papa Yohane VI akafuatwa na Papa Sisinnio.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane VII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.