Papa Yohane VIII alikuwa Papa kuanzia tarehe 14 Desemba 872 hadi kifo chake tarehe 16 Desemba 882[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Papa Yohane VIII.

Alimfuata Papa Adriano II akafuatwa na Papa Marinus I.

Anatazamwa kama mmoja kati ya Mapapa bora wa karne ya 9.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.