Patna ni jiji la Jimbo la Bihar nchini Uhindi lenye wakazi milioni 1.7 (2011). Ni makao makuu ya jimbo na mji mkubwa wa kumi na tisa nchini Uhindi.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Patna kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.