Paul Christian Lauterbur (6 Mei, 192927 Machi, 2007) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza usumaku kwa ajili ya MRI. Mwaka wa 2003, pamoja na Peter Mansfield, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Paul Lauterbur
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Lauterbur kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.