Paulo Dybala (alizaliwa Laguna Larga, Cordoba, Arjentina, 15 Novemba 1993) ni mchezaji wa soka na anacheza kama namba (10).

Paulo Dybala

Anachezea klabu ya Juventus na timu ya taifa ya Arjentina, lakini familia yake asili yake ni Italia.

Ndani ya 2012 alijiunga na Palmone huko Italia alicheza katika kiwango kizuri na kupelekwa kundi A ndani ya 2015 alisajiliwa kwenda Juventus.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paulo Dybala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.