Perpetui wa Tours (alifariki Tours, leo nchini Ufaransa, 30 Desemba 490 BK) alikuwa askofu wa 6 wa mji huo kwa miaka 30 baada ya ndugu yake Eustoki wa Tours na kabla ya ndugu yake mwingine, Volusiano wa Tours [1].

Mt. Perpetui katika mavazi ya ibada ya kiaskofu.

Gregori wa Tours aliandika juu yake[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Desemba[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. [1]
  2. Gregory, History of the Franks.
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.