Publius Helvius Pertinax (1 Agosti, 12628 Machi, 193) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 31 Desemba, 192 hadi kifo chake. Alimfuata Commodus. Aliuawa na Didius Julianus.

Shaba inayoonyesha Kaizari Pertinax

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pertinax kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.