Peter Eriksson

mwanasiasa wa Uswidi

Lars-Johan Peter Eriksson (* 3 Agosti 1958 Tranås, Småland) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Uswidi. Ni mmoja wa viongozi wa Mazingira Green Party nchini Uswidi. Mwaka 2002 alichaguliwa bungeni.

Peter Eriksson




Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peter Eriksson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.