Peter Robert Edwin Viereck (5 Agosti 191613 Mei 2006) alikuwa mshairi na profesa wa historia kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1949 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Faili:Peter Viereck.jpg
Peter Viereck

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peter Viereck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.