Philip Sang'ka Marmo

Philip Sang'ka Marmo (amezaliwa tar. 29 Desemba 1951) ni mbunge wa jimbo la Mbulu katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Philip Sang'ka Marmo". 18 Februari 2008. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011. 

Viungo vya nnje hariri