Pisidia (kwa Kigiriki: Πισιδία, Pisidía) ilikuwa eneo la rasi ya Anatolia (leo nchini Uturuki) kaskazini kwa Lycia.

Pisidia katika Anatolia wakati wa Ugiriki wa Kale na Roma ya Kale.

Kadiri ya Matendo ya Mitume, Mtume Paulo pamoja na Barnaba walifanya umisionari huko.

Marejeo hariri

  • Bean, G. E. “Notes and Inscriptions from Pisidia. Part I.” Anatolian Studies, vol. 9, 1959, pp. 67–117. JSTOR, www.jstor.org/stable/3642333. Accessed 24 Apr. 2020.

Viungo vya nje hariri

Coordinates: 37°18′N 30°18′E / 37.3°N 30.3°E / 37.3; 30.3