Poemen (kwa Kigiriki: Ποιμήν, Poimen, yaani "Mchungaji") (340450 hivi) alikuwa mmonaki wa Misri maarufu kwa misemo yake.

Picha takatifu ya Mt. Poemen Mkuu.

Kati ya Mababu wa jangwani ndiye anayeongoza kwa mbali kwa wingi (1/7) wa misemo iliyoripotiwa katika Apophthegmata Patrum (Misemo ya Mababa wa Jangwani)[1].

Misemo hiyo ilikusanywa taratibu ili kudumisha hekima yao nyofu. Kuna pia tafsiri ya Kiswahili: Misemo ya Mababa wa Jangwani (Apophthegmata Patrum) – tafsiri ya W. Ngowi, O.F.M.Cap. – ed. Salvatorianum – Morogoro 2000ISBN 0-264-66350-0

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Agosti[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Harmless, William (2000). "Remembering Poemen Remembering: The Desert Fathers and the Spirituality of Memory". Church History (American Society of Church History) 15. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-05-18.  Unknown parameter |= ignored (help)
  2. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.