Prasede wa Roma (alifariki mjini Roma, Italia, 165 hivi[1]) alikuwa Mkristo ambaye kwa heshima yake jijini Roma lilijengwa mapema kanisa maarufu[2].

Mt. Prasede alivyochorwa na Johannes Vermeer (1655 hivi).

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu bikira na mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 21 Julai[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. de Voragine, Jacobus (1995). William Granger Ryan, mhariri. The Golden Legend Vol. 1. Princeton UP. uk. 374. ISBN 978-0-691-00153-1. Iliwekwa mnamo 26 October 2010.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/63850
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.