Publio wa Athene (alifariki takriban 165) alikuwa askofu wa mji huo (Ugiriki) katika karne ya 2[1]. Alifia dini yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma, inawezekana hasa mwanzoni mwa utawala wa kaisari Marcus Aurelius.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni 21 Januari[2] au 13 Machi[3] .

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.