Pumori ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 7,161 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.

Muonekano wa Pumori kutoka kambi ya chini ya Everest, bonde la Khumbu

Uko kati ya Nepal na China (Tibet).

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pumori kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.