Querétaro (jimbo)

Querétaro ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kati ya nchi. Mji mkuu na mji mkubwa ni Querétaro.

Kanisa Kuu la Querétaro
Bendera ya Querétaro
Mahali pa Querétaro katika Mexiko

Imepakana na San Luis Potosí, Guanajuato, Hidalgo, Mexico na Michoacán.

Jimbo lina wakazi wapatao 1,598,139 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 11,449.

Gavana wa jimbo ni Francisco Garrido Patrón.

Lugha rasmi ni Kihispania.

Miji Mikubwa hariri

  1. Querétaro (596,450)
  2. San Juan del Río (120,984)
  3. Corregidora (104,218)
  4. Tequisquiapan (54,929)
 
Piramidi za El Pueblito

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Querétaro (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.