Raheli ni mwanamke wa Biblia anayejulikana hasa kutokana na Kitabu cha Mwanzo kama binti Labano na mke wa pili wa Yakobo Israeli, aliyemzalia watoto wawili, Yosefu na Benyamini.

Raheli alivyochorwa na William Dyce.
Mchoro wa Tiepolo, Raheli akiwa ameficha sanamu za Labano

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Desemba[1], lakini pia tarehe 30 Septemba na 12 Mei.

Maana ya jina hariri

Kwa Kiebrania Rahel maana yake ni "kikondoo", hivyo “mpole”.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons


  Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Raheli kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.