Ramón Sánchez Pizjuán Stadium

Ramón Sánchez Pizjuán Stadium ni uwanja wa mpira wa miguu uliopo huko Seville, Hispania. Ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya Sevilla FC.

Huu ni uwanja wa Ramón Sánchez Pizjuán.

Uwanja huu umeitwa jina la rais wa zamani wa klabu, Ramón Sánchez Pizjuán, ambaye alitumikia Sevilla kwa miaka kumi na saba katika karne ya 20 na alisaidia katika ujenzi wa kiwanja hicho.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Ramón Sánchez Pizjuán Stadium kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.