Rangiroa ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa magharibi wa kisiwa cha Arutua. Eneo la kisiwa ni 79 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Avatoru. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 2567. Watu wakaao kisiwani kwa Rangiroa huongea Kituamotu na Kitahiti.

Kisiwa cha Rangiroa
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.