Rasi ya Baja Kalifornia

Rasi ya Baja California (tamka "ba-kha ka-li-for-ni-a", au Kalifornia ya chini) ni rasi ya Amerika Kaskazini. Iko kaskazini-magharibi mwa Mexico.

Rasi ya Baja California (nyekundu)

Urefu wake ni kilomita 1,250 kutoka kaskazini hadi Cabo San Lucas upande wa kusini. Rasi hii inatenganisha Bahari ya Pasifiki kutoka Ghuba ya Kalifornia.

Majimbo ya Mexiko ya Baja California Sur na Baja California yanapatikana kwenye rasi hiyo.

Eneo lake ni km2 143,396.

Tovuti nyingine hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rasi ya Baja Kalifornia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.