Richa Adhia

modo na mshiriki wa mashindano ya urembo


Richa Maria Adhia (alizaliwa Dar es Salaam, 1 Mei 1988) alikuwa mshindi wa Miss Tanzania wa mwaka 2007[1].

Rachael Maria Adhia

Amezaliwa 1 May 1988
Dar es Salaam, Tanzania
Nchi Tanzania
Majina mengine Richa Adhia
Kazi yake Mwanamitindo, Mfanyabiashara

Mama yake alizaliwa kisiwani Pemba, na baba yake alizaliwa Morogoro, Tanzania. Yeye alizaliwa jijini Dar es Salaam akakulia mjini Mwanza, Tanzania.

Richa alikuwa mshindi wa kwanza wa Miss Tanzania mwenye asili ya Uhindi.

Marejeo hariri

  1. "Showbiz Highlights—Miss TZ's side hustle", Saturday Nation, 5 December 2009, ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-10, iliwekwa mnamo 3 April 2010  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)