Riyal (kwa Kiarabu: ريال, riyāl; kifupisho: ر.س au SR) ni sarafu maalumu inayotumika nchini Saudi Arabia. Imegawanyika katika halala (هللة, halalah) 100.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Riyal kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.