Robert Francis Furchgott (4 Juni, 191619 Mei, 2009) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mawasiliano ndani ya seli. Mwaka wa 1998, pamoja na Louis Ignarro na Ferid Murad, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Robert Furchgott
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Furchgott kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.