Robert Geoffrey Edwards (27 Septemba, 192510 Aprili, 2013) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza njia za kupata mimba nje ya mwili. Mwaka wa 2010 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Robert Edwards
Robert Edwards (mwanafizikia)
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert G. Edwards kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.