Robert Silliman Hillyer (3 Juni 189524 Desemba 1961) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1934 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Hillyer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.