Robert Bruce Merrifield (15 Julai 192114 Mei 2006) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza usanisi wa pepsini. Mwaka wa 1984 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.


Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Merrifield kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.