Rokujo (28 Desemba, 116423 Agosti, 1176) alikuwa mfalme mkuu wa 79 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Nobuhito, na alikuwa mwana wa Tenno Nijo. Mwaka wa 1165 alimfuata babake na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1168. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake Takakura.

kaburi la mfalme Rokujo

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rokujo wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.