Ronaldinho

Mchezaji mpira wa Brazil

Ronaldo de Assís Moreira, (anafahamika zaidi kama Ronaldinho Gaucho; alizaliwa mjini Porto Alegre tarehe 21 Machi 1980) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Brazil. Mnamo Januari ya mwaka wa 2007, amekuwa raia kamili wa Hispania.

Ronaldinho.

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ronaldinho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.