Roy Keane (alizaliwa 10 Agosti 1971) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Jamhuri ya Ireland na klabu ya Manchester United aliyekuwa anacheza katika nafasi ya kiungo.

Roy Keane

Alianza kuichezea Manchester United kuanzia mwaka 1993 hadi mwaka 2005.

Alifanikiwa kuchukua kombe la ligi kuu la nchini Uingereza la mwaka 1994.

Kwa sasa ni kocha msaidizi wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Jamhuri ya Ireland.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roy Keane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.