Ruby ni lugha ya programu. Iliundwa na Yukihiro Matsumoto na ilianzishwa tarehe 21 Desemba 1995. Iliundwa ili kurahisisha kujifunza lugha za programu. Leo tunatumia Ruby 2.7.0. Ilivutwa na Python.

Ruby
Ruby logo
Shina la studio namna :namna nyingi
Imeanzishwa Desemba 21 1995 (1995-12-21) (umri 28)
Mwanzilishi Yukihiro Matsumoto
Ilivyo sasa Ilivutwa na: Ada, C++, CLU, Dylan, Eiffel, Lisp, Lua, Perl, Python, Smalltalk, Basic

Ilivuta: Clojure, CoffeeScript, Crystal, D, Elixir, Groovy, Ioke, Julia, Mirah, Nu, Ring, Rust, Swift

Mahala Yukihiro Matsumoto, et al.
Tovuti https://www.ruby-lang.org/en/

Historia hariri

Ilianzishwa 21 Desemba 1995 nchini Japani. Kisha kitabu cha kwanza kilichapishwa nchini Japani mwaka wa 1999; kiliitwa "Lugha ya programu Ruby inaozingatiwa kuhusu kipengee (オブジェクト指向スクリプト言語 Ruby).

Falsafa hariri

Namna ya Ruby ni namna nyingi kama lugha za programu nyingi.

Sintaksia hariri

Sintaksia ya Ruby ni rahisi sana. Ilivutwa na sintaksia ya Pearl, lugha ya programu nyingine.

Mifano ya Ruby hariri

Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».

$ irb
irb(main):001:0> puts 'Jambo, Ulimwengu'
Jambo, Ulimwengu

Programu kwa kuchapa orodha ya maneno.

array = [1, 'hi', 3.14]
array.each {|item| puts item }
# prints:
# 1
# 'hi'
# 3.14

Marejeo hariri