Saa ya mchanga ni saa ambayo hutumia mchanga au unga katika kupima muda.

Saa ya mchanga inayoonyesha kipindi cha dakika 3; baada ya dakika 3 mchanga wa juu umeshuka. Hutumiwa kwa kupika mayai.

Saa za mchanga ni saa ambazo zilikuwa zikitumika kwa kiwango kikubwa hapo zamani, kabla ya teknolojia ya saa ambazo zinatumia seli au betri.

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.