Sacramento Kings

Timu ya mpira wa kikapu ya Marekani

Sacramento Kings ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Sacramento, California. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na De’Aaron Fox.


Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Sacramento Kings kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
 
Red Holzman