Safina ya Noah (kutoka Kiarabu: سفينة نوح‎, Safina Nuh; kwa Kiebrania ni: תיבת נח‎, Tevat Noaḥ) ni chombo kikubwa ambamo, kadiri ya simulizi la Kitabu cha Mwanzo (Biblia), Noah na familia yake walikombolewa wakati wa gharika kuu.

Safina ya Noah (1846), mchoro wa Edward Hicks.

Pamoja nao wanyama wa kila aina waliokolewa humo wasife maji.

Kadiri ya kitabu hicho cha Agano la Kale, sura 6-9, Mungu ndiye aliyemuagiza Noah atengeneze chombo hicho.

Habari hiyo inapatikana pia, kwa tofauti kadhaa, katika Quran.

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Marejeo mengine hariri

Ufafanuzi wa Mwanzo

Vingine

Tigay, Jeffrey H., (1982). The Evolution of the Gilgamesh Epic. University of Pennsylvania Press, Philadelphia. ISBN 0-8122-7805-4. 
  Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Safina kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.