Samson Kagengo Ongeri ni mwanasiasa wa Kenya na Mbunge katika Bunge la Kenya.

Sam Ongeri

Uanachama hariri

Yeye ni mwanachama wa Chama cha KANU

Eneo Bunge hariri

Alichaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007[1] kuwakilisha Jimbo la Nyaribari Masaba kwa tiketi ya Chama cha KANU

Uwaziri hariri

Profesa Ongeri amekuwa Waziri wa Elimu tangu 2007. Profesa Ongeri pia amewahi kuhudumu kama mwenyekiti wa Shirikisho la Riadha nchini Kenya tangu 1974 hadi 1984. [2].

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Wabunge wa Bunge la 10 Archived 16 Juni 2008 at the Wayback Machine.. Bunge la Kenya. Accessed 19 Juni 2008.
  2. Wenyekiti wa Shirikisho la Riadha,Kenya. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-06-07. Iliwekwa mnamo 2010-01-09.
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sam Ongeri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.