Samir Handanovič (alizaliwa 14 Julai 1984) ni mchezaji wa soka wa Slovenia ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Italia Inter Milan.

Samir Handanović

Anaonekana kama mmoja wa magolikipa bora wa kizazi chake.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samir Handanović kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.