San Cristóbal Ecatepec

San Cristóbal Ecatepec (jina rasmi: San Cristóbal Ecatepec de Morelos) ndiyo mji mkubwa katika jimbo la Mexico. Ni mji upande wa kati ya jimbo Mexico na pia nchi Mexiko. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 1,688,258 wanaoishi katika mji huu. Uneo lake ni 189.9 km².

Sehemu ya Mji wa San Cristóbal Ecatepec



Jiji la San Cristóbal Ecatepec
Nchi Mexiko
Jimbo Mexico
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 275,578
Tovuti:  www.ecatepec.gob.mx

Mji upo m 2250 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Jina la Ecatepec ni ya Kinahuatl, maan yake ni mlima wa upepo.

Mji ulianishwa mwaka 1861.



Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu San Cristóbal Ecatepec kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.