Sava ni moja ya mikoa 22 ya kujitawala ya Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 805,300. Mji mkuu ni Sambava.

Sava
Mahali paSava
Mahali paSava
Mahali pa Mkoa wa Sava katika Madagaska
Majiranukta: 14°16′S 50°10′E / 14.267°S 50.167°E / -14.267; 50.167
Nchi Madagaska
Wilaya 4
Mji mkuu Sambava
Eneo
 - Jumla 25,518 km²
Idadi ya wakazi (2004)
 - Wakazi kwa ujumla 805,300

Picha za Sava hariri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Madagaska bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sava kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:



 
Mikoa ya Madagaska
 
Diana | Sava | Itasy | Analamanga | Vakinankaratra | Bongolava | Sofia | Boeny | Betsiboka | Melaky | Alaotra-Mangoro | Atsinanana | Analanjirofo | Amoron'i Mania | Haute Matsiatra | Vatovavy-Fitovinany | Atsimo-Atsinanana | Ihorombe | Menabe | Atsimo-Andrefana | Androy | Anosy