Sebastian Kurz (amezaliwa 27 Agosti 1986) amekuwa kansela wa Austria tangu Januari 2020, nafasi ambayo alikuwanayo hapo awali kutoka Desemba 2017 hadi Mei 2019.

Kurz pia amekuwa mwenyekiti wa Chama cha Watu wa Austria tangu Mei 2017.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sebastian Kurz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.