Sendai (仙台市) ni mji mkuu katika mkoa wa Miyagi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 1.

Faili:SendaiTop.png
Mji wa Sendai








Sendai
Faili:Flag of .png
Bendera
Nchi Japani
Kanda Tōhoku
Mkoa Miyagi
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,032,393
Tovuti:  www.city.sendai.jp

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sendai, Miyagi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
 
WikiMedia Commons