Servatius Mtakatifu

Servatius wa Tongeren[1] (kwa Kiarmenia: Սուրբ Սերվատիոս; kwa Kiholanzi: Sint Servaas; kwa Kifaransa: Saint Servais; alizaliwa nchini Armenia, akafariki Maastricht, 384) alikuwa askofu wa kwanza wa Atuatuca Tungrorum, leo Tongeren, nchini Uholanzi.

Masalia ya Mt. Servatius yanatunzwa katika sanamu hii ya karne ya 15/16.

Katika mitaguso mbalimbali alitetea imani sahihi ya Mtaguso wa kwanza wa Nisea dhidi ya uzushi wa Ario kuhusu Yesu Kristo.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki[2] na Waorthodoksi[3] kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Mei.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • P.C. Boeren, Jocundus, biographe de saint Servais. Nijhoff, The Hague, 1972
  • L. Jongen Heinrich (ed.), and Kim Vivian, Richard H. Lawson and Ludo Jongen (transl.)The Life of Saint Servatius: A Dual-language Edition of the Middle Dutch 'legend of Saint Servatius' by Heinrich Von Veldeke and the Anonymous Upper German 'life of Saint Servatius'. Mellen Press, 2005, ISBN 0-7734-6063-2

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.