Shinzō Abe (安倍 晋三, Abe Shinzō; amezaliwa 21 Septemba 1954 - 8 Julai 2022) ni mwanasiasa wa Kijapani ambaye amewahi kuwa Waziri Mkuu wa Japani na Rais wa Chama cha Kidemokrasia cha Liberal (LDP) tangu mwaka 2012.

Kifo hariri

Alifariki akiwa na miaka 68 kwa kupigwa risasi mnamo 8 julai 2022 wakati akihutubiha katika mji wa Nara.

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shinzō Abe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

[1][2][3] Alifariki akiwa na umri wa miaka 67. Polisi wanamshikilia mtuhumiwa wa mauaji ayo anaejulikana kama Tetsuya Yamagami.[4]

Marejeo hariri